ZARI KUMZALIA DIAMOND MTOTO MWINGINE MWEZI DESEMBA - MRS. BENSON

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 2 August 2016



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA




« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

ZARI KUMZALIA DIAMOND MTOTO MWINGINE MWEZI DESEMBA




Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Diamond

Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.

“Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa wa kiume,”

Aliongeza, “Na itakuwa mwezi Disemba mwaka huu! Baada ya hapo sitaongeza tena mtoto mwingine, ni muda wa kula bata sasa ndio unafata na watoto wetu wawili”

Diamond na Zari tayari wana mtoto mmoja wa kike, ‘Tiffa’ ambaye hivi karibuni atatimiza mwaka mmoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here