MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KUPUMUA - MRS. BENSON

Post Top Ad

Monday, 31 July 2017

demo-image



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA
rlx pb%2BApp
PUSH%2BBN%2B728%2BV1

KILIHOST%2BADS
« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KUPUMUA

BewisaTV+Banner
KUPUMUA1. Mtu mzima anapumua mara 23,000 kwa siku.
2. Kazi kubwa ya kupumua sio kupata oxygen, bali kuondoa kabon dayoksaidi.
3. Kupumua kwa kutumia mdomo ni hatari kwa afya yako.
4. Unavyopumua kwa kasi ndivyo inavyozidisha njaa na acid kwenye mwili wako.
5. Unatakiwa kufanya mazoezi kwa kiwango ambacho utaweza kupumua ukiwa umefunga mdomo.
6. Pua ina ngazi nne za kuchuja hewa inayoingia, ukipumua kwa mdogo inaenda moja kwa moja kwenye ngazi ya nne.
7. Kama mapafu yako yangetandazwa yanafikia ukubwa wa uwanja wa tennis.
8. Kupumua kunaendeshwa na mfumo wa fahamu usio wa hiari (involuntary).
9. Ukijizuia kupumua unaongeza kabon dayoksaidi kwenye mwili.
10. Ukijizuia kupumua unatibu kwi kwi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *