TANZIA: MUIGIZAJI (MR. BENSON) WA SIRI ZA FAMILIA AFARIKI DUNIA - MRS. BENSON

Post Top Ad

Tuesday, 25 October 2016

demo-image



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA
rlx pb%2BApp
PUSH%2BBN%2B728%2BV1

KILIHOST%2BADS
« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

TANZIA: MUIGIZAJI (MR. BENSON) WA SIRI ZA FAMILIA AFARIKI DUNIA

BewisaTV+Banner
mr+benson
Marehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson akiwa na 'familia yake' yaani mke wake Linda na Mtoto wake Alex katika igizo la Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA.

mr+bnen
Marehemu Haji Jumbe
kwa jina la usanii Mr. Benson
Muigizaji Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na kituo cha luninga cha EATV amefariki dunia jana Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi.


Sababu za kifo chake ni ugonjwa na siku chache zilizopita alikuwa anasumbuliwa na tumbo.

Mazishi yanatarajia kufanyika leo Jumanne saa 9 Alasiri, huko Bagamoyo, Pwani.

Blogu hii ya Prince Bewisa inapenda kutoa pole kwa ndugu wa marehemu, jamaa, marafiki, na wafuatiliaji wa tamthilia ya Siri za Familia kwa msiba huu mzito.

Mungu ailaze pema roho ya marehemu Haji Jumbe, amina.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *