Post Top Ad
Tuesday, 5 September 2017

UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA ➞




« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »
NAMNA YA KUOMBA VIZURI NA MUNGU KUJIBU MAOMBI YAKO
Watu wengi wanaamini kwamba maombi yaliyojibiwa ni Mungu kukujibi ombi lo lote lilowekwa kwake. Kama ombi lo lote halikujibwa, inaeleweka kuwa ni maombi “yasiyo jibiwa.” Wakati mwingine Mungu jibu lake ni “la” au “ngoja.” Mungu anahidi pekee kuwa atatimiza majibu ya maombi yetu wakati tunauliza kulingana na mapenzi yake. “Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, yakuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. Na kama tukijua kwaba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba” (1 Yohana 5:14-15).
Inamaanisha nini kuomba kulingana na mapenzi ya mungu? Kuomba kulingana na mapenzi ya Mungu ni kuomba vitu ambavyo vinamheshimu na kumtukuza Mungu au kuomba chochote kile Bibilia inafunua kuwa ndio mapenzi ya Mungu. Kama tutaomba juu ya kitu fulani ambacho hakimweshimu Mungu ama chenye sio mapenzi ya Mungu katika maisha yetu, Mungu hatatupa chenye tunauliza. Tutawezaje kujua mapenzi ya Mungu? Mungu anahidi kutupa hekima wakati tunauliza.
Yakobo 1:5 yasema, “Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.” Mahali pazuri pa kuanzia ni 1 Wathesalonike 5:12-24, ambayo yaratibisha mambo mengi ambayo ni mapenzi ya Mungu kwetu. Tunavyo lielewa neno la Mungu zaidi, ndivyo tutakavyo jua chenye tutakavyo omba (Yohana 15:7). Tunavyo jua chenye tunaomba zaidi, ndivyo Mungu atakavyo kuwa na jibu la maombi kuwa “ndio.”
Ili kupata Habari, Stori, na Makala zaidi na kwa njia rahisi, Install App yetu kwenye PlayStore. Tafuta PRINCE BEWISA, au
BONYEZA HAPA

TUAMBIE UNA MAONI GANI JUU YA HILI?
Facebook Plugin by
princebewisa
Tags # INJILI
Share This

About Benson Mmari
Benson Mmari ni mwaandishi wa makala za mitandaoni akijikita zaidi katika kuelimisha kuhusiana na masuala ya Afya, Saikolojia, na Mahusiano - Kimwili na kiroho.
Ni mwanateknolojia aliyebobea kwenye kazi zake tangu mwaka 2012.
Newer Article
NJIA ZA KIBIBLIA ZA KUMPATA MWENZI WA MAISHA
Older Article
FAIDA YA KULA UGALI WA DONA
SOMO: MAMBO UNAYOHITAJI KUYAJUA KUHUSU NDOTO UNAZOOTA ILI IWE VYEPESI KUFANIKIWA KIMAISHA. - SEHEMU YA 5
Benson MmariOct 07, 2017CHAKUFANYA IKIWA UMEOTA NDOTO AMBAYO HUJUI TAFSIRI YAKE. - MFULULIZO WA SOMO: MAMBO UNAYOHITAJI KUYAJUA KUHUSU NDOTO UNAZOOTA ILI IWE VYEPESI KUFANIKIWA KIMAISHA. - CHAKUFANYA IKIWA UMEOTA NDOTO AMBAYO HUJUI TAFSIRI YAK
Benson MmariOct 06, 2017SOMO: MAMBO UNAYOHITAJI KUYAJUA KUHUSU NDOTO UNAZOOTA ILI IWE VYEPESI KUFANIKIWA KIMAISHA. - SEHEMU YA 4
Benson MmariOct 05, 2017
Labels:
INJILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment