HII NI ORODHA YA MIJI 10 ISIYOKUWA NA GHARAMA YA KUISHI DUNIANI - MRS. BENSON

Post Top Ad

Thursday, 6 April 2017

demo-image



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA
rlx pb%2BApp
PUSH%2BBN%2B728%2BV1

KILIHOST%2BADS
« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

HII NI ORODHA YA MIJI 10 ISIYOKUWA NA GHARAMA YA KUISHI DUNIANI

BewisaTV+Banner
cityKila mwaka Economist Intelligence Unit hufanya utafiti kujua ni miji ipi ina gharama kubwa za kuishi na ipi isiyokuwa na gharama duniani ambapo kwa mwaka 2017 wametoa orodha mpya.
Katika orodha hiyo, miji ya Bangalore na Mumbai imeendelea kung’ang’ania nafasi za juu kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kuwa na gharama za chini huku miji ya Chennai na New delhi kuingia kwenye orodha ya mwaka huu 2017, na kuifanya India kuwa nchi pekee duniani yenye miji minne yenye gharama nafuu .
Kutoka Afrika mji wa Algiers wa Algeria umeendelea kuwepo kwenye orodha huku mji wa Lagos Nigeria ukiingia kwa mara ya kwanza katika orodha hii ya mwaka 2017.
1- Almaty Kazakhstan
Almaty-cityscape
Almaty Kazakhstan
2- Lagos Nigeria
busy-lagos-street.
Lagos Nigeria
3- Bangalore India
Indian-Lab-Bangalore-IFHP
Bangalore India
4- Karachi Pakistan
569c71fa45284
Karachi Pakistan
5- Algiers Algeria
8359157026_a1a64e64b2_b
Algiers Algeria
6- Chennai India
441160-chennaikathiparabridge-wikimedia
Chennai India
7- Mumbai India
mumbai-b1-1488108446
Mumbai India
8- Kiev Ukraine
botanical_garden_kyiv_ukraine-_118
Kiev Ukraine
9- Bucharest Romania
moving-
Bucharest Romania
10- New Delhi
new-delhi-pic
New Delhi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *