HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA WAPIGWA 'STOP' BUNGENI MPAKA MWAKANI - MRS. BENSON

Post Top Ad

Monday, 5 June 2017

demo-image



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA
rlx pb%2BApp
PUSH%2BBN%2B728%2BV1

KILIHOST%2BADS
« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA WAPIGWA 'STOP' BUNGENI MPAKA MWAKANI

BewisaTV+Banner
Mdee+na+Bulaya


Install App yetu upate habari hizi kwa urahisi, nenda PlayStore kisha tafuta 'PRINCE BEWISA' au bonyeza tangazo la hapo juu.

Endelea...

Halima Mdee na Esther Bulaya wamehukumiwa kutohudhuria vikao vyote vya bunge linaloendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19.

Hukumu hiyo imeungwa mkono na wabunge wengi waliopitisha azimio hilo.

Mapema leo, Jumatatu Kamati ya Maadili ilisema Bulaya na Mdee wamemaliza adhabu za kawaida zilizopo kwenye kanuni za bunge.

Hata hivyo, Bunge liliendelea kujadili makosa ya wabunge hao wa Bunda na Kawe.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, George Mkuchika aliliomba Bunge kujadili adhabu inayostahili kulingana na makosa yao.

Kanuni inasema, mbunge anayefanya kosa la kwanza anaweza akazuiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 10 na atayakosea kwa mara ya pili anaweza kuzuiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 20.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *