
Hujambo mtu wangu? salaam za dhati zikufikie hapo ulipo, na nikushukuru sana kwa uamuzi wako wa kuperuzi kwa faida hapa Prince Bewisa, aidha kwa kupitia App au tovuti.
Wakati fulani nilikuwa nnamfanyia maombi binti mmoja na mapepo yalilipuka na alikuwa amefunga ndoa na majini, amezaa nayo, na mambo mengine ya kutisha.
Tafsiri unayoweza kuipata hapo ni kuwa, kama binti huyo angeolewa kabla hajaondoka kwenye vifungo hivyo, basi ndoa yake au mahusiano yake yasingedumu, au pia mumewe angekuwa kwenye hatari kubwa sana maana majini yale yangehakikisha mume yule anakufa ili yaendelee na mtu wao.
Ni muhimu sana mwanaume akawa makini na kufuatilia kwa msaada wa Mungu juu ya mke unayetaka kumuoa.
Ili kufahamu zaidi juu ya mke sahihi kibiblia, BONYEZA HAPA.
Unaweza pia kusoma njia nzuri za kibiblia za kumpata mwenzi wa maisha kwa kubonyeza HAPA.
No comments:
Post a Comment