VIDEO YA ALIYEKUWA MUME WA ZARI AKITOA MSAADA WA HELA KWA RAIA WA UGANDA - MRS. BENSON

Post Top Ad

Thursday, 25 May 2017

demo-image



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA
rlx pb%2BApp
PUSH%2BBN%2B728%2BV1

KILIHOST%2BADS
« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

VIDEO YA ALIYEKUWA MUME WA ZARI AKITOA MSAADA WA HELA KWA RAIA WA UGANDA

BewisaTV+Banner
ivan+msaada

"Bwana ametoa na Bwana ametwa, jina lake lihimidiwe."

Hiyo ndo kauli ambayo naweza kuanza nayo wakati huu baadhi yetu tunaomboleza kifo cha aliyekuwa mume wa Zari, yaani Ivan Semwanga maarufu kama 'the Don' ambaye ni raia wa nchi ya Uganda.

Ivan alifariki tarehe 25 mwezi huu wa 5 nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu, kama ambavyo tulitangulia kuandika hapa Prince Bewisa.

ivanLakini nini kinagusa zaidi kwenye msiba huu wa shemeji yetu mpenzi? Sote tunajua kifo kinauma lakini kubwa ambalo mwenzetu atakumbukwa nalo ni namna alivyokuwa akijitolea kutoa misaada mbalimbali ya fedha kwa raia wenzake wa Uganda na kwingineko.

Prince Bewisa kupitia channel yake ya Youtube, maarufu kama Bewisa TV, leo imepost video hii hapa chini ikionesha moja ya shughuli za misaada aliyokuwa akiifanya marehemu enzi za uhai wake.

Bila shaka hii inagusa na sote twapaswa kuweka mikono pamoja na kumwombe mwenzetu huko aendako.

Pumzika kwa amani Ivan.

TAZAMA VIDEO HII AKITOA MSAADA WA FEDHA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *