UKIZIONA DALILI HIZI BASI UJUE WEWE/MWANAMNKE NI MJAMZITO - MRS. BENSON

Post Top Ad

Monday, 31 July 2017

demo-image



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA
rlx pb%2BApp
PUSH%2BBN%2B728%2BV1

KILIHOST%2BADS
« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

UKIZIONA DALILI HIZI BASI UJUE WEWE/MWANAMNKE NI MJAMZITO

BewisaTV+Banner
MIMBAKwa wale wanawake ambao wana kawaida ya kwenda hedhi kila mwezi, dalili ya awali na ya uhakika  ya ujauzito ni kukosa hedhi.

Wakati mwingine wanawake ambao ni wajawazito na  wanapata hedhi kipindi kifupi sana, hutoka damu kidogo tu. Baadhi ya ishara na dalili nyingine za awali za ujauzito ni hizi hapa chini. Kila mwanamke ni tofauti na si wanawake wote watakuwa wataona dalili hizi zote.

Kuhisi kuumwa - baadhi ya wanawake hujihisi kuwa wanaumwa. Wengi huhisi kichefuchefu na kutapika hasa nyakati za asubuhi. 

Kuhisi uchovu - wanawake wengi hujihisi uchovu na mwili kulegea. Hii hufanya wanawake wapende kulala. Mabadiliko ya homoni yanayotokea wakati huu ndio kiini ya matatizo haya.

Kuumwa maziwa - baadhi ya wanawake hujaa na kuumwa maziwa.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *