ZINGATIA YAFUATAYO KATIKA KUJENGA MSINGI IMARA WA NYUMBA YAKO - MRS. BENSON

Post Top Ad

Wednesday, 30 August 2017

demo-image



UNAWEZA KUPATA STORI ZETU MOJA KWA MOJA KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA
rlx pb%2BApp
PUSH%2BBN%2B728%2BV1

KILIHOST%2BADS
« Piga 0652262137 kuweka tangazo lako hapa - Push kwa Buku tu »

ZINGATIA YAFUATAYO KATIKA KUJENGA MSINGI IMARA WA NYUMBA YAKO

BewisaTV+Banner
msingi

Oh, kamanda wangu asante sana kwa kuitembelea Prince Bewisa tena, aidha kwa App au Web, kongole likufikie ulipo.

Leo ndugu yangu, nimeona ni vema nikuandikie makala hii fupi sana itakayokupa funzo la mambo ya kuzingatia unapojenga msingi wa nyumba yako. Na hii inakuja baada ya kukuandikia juu ya mambo ya kuzingatia unaponunua kiwanja kwa ajili ya makazi.

Kwanza, kabla sijasonga mbele, ni vema ukafahamu kuwa kuna aina mbalimbali za misingi ya nyumba (foundation) na ili kuweza kuchagua msingi wa nyumba kunategemea vitu vingi sana, na moja wapo ni aina ya udongo uliopo kwenye eneo unalotaka kujenga nyumba (site) yako. Nyumba ambazo zinajengwa kwenye udongo dhaifu huitaji msingi wenye kina.

Hali ya hewa pia ni kitu cha muhimu kuzingatiwa, aina nyingine za msingi hushindwa kua imara sehemu zenye unyevu mwingi au baridi kali.

Aina ya nyumba unayotaka kujenga pia itategemeana na msingi. Kama ni Ghorofa basi msingi uwe imara wa kuweza kubeba uzito wa ghorofa hilo.

Ni vizuri kushauriana na wataalam wakati unataka kuweka msingi ili wakushauri ni aina gani au kiwango gani cha msingi kinachohitajika.

Shaloom!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *